NMB Amana Akaunti ni akaunti ya muda maalumu inayokupa riba nzuri kwa kipindi utakachotunza fedha zako. Mteja anaweza kuchukua fedha kabla ya muda lakini hiyo itamaanisha kwamba atapoteza riba aliyokuwa anastahili kupata.

Kokotoa faida ya mwezi

Faida ya kila mwezi (Tsh) : 0

Maelezo ya Hesabu

  • Kiwango cha riba : 9.5%
  • Muda :
  • Thamani ya baadaye :
  • Riba :
  • Kodi ya zuio :
  • Kodi ya punguzo :
  • Thamani ya baadaye :

Faida za NMB Fixed Deposit Account

  • Riba kubwa ya kishindani
  • Uhakika wa kupata faida ya uwekezaji kwa kipindi utakachowekeza
  • Vipindi tofauti unavyoweza kuchagua kuwekeza
  • Unaweza kuwekeza kwa mwezi mmoja, mitatu, sita, 12 au zaidi ya mwaka mmoja (mpaka miaka miwili)
  • Unaruhusiwa kuongeza kiasi cha uwekezaji kadri uwezavyo kwa muda tofauti
  • Unaweza kuhudumiwa kwenye tawi letu lolote kati ya 220 yaliyopo nchini
  • Fedha za mteja zipo salama wakati wote
  • Hakuna makato ya kila mwezi

Unachohitaji kumiliki akaunti ya Amana NMB   

  • Muombaji anatakiwa kuwa na akaunti binafsi ya NMB   
  • Kiwango kinachohitajika kufungulia na kumiliki akaunti ya Amana ni TSH 1,000,000/= 

Makato ya Akaunti hii

  • Hakuna makato yoyote kwenye akaunti hii

Tafadhali tembelea tawi lolote la Benki ya NMB lililo karibu yako au tupigie bure kwa namba ya huduma kwa wateja– 0800 002 002.