To comply with BRELA:
NMB Bank Management, would like to remind you to ensure your company is registered with BRELA through www.brela.go.tz or https://ors.brela.go.tz/ors before the deadline, 19th July 2018.
Please note that, while registering charges you are required to ensure you file and record all your annual returns to date and any other forms.
Once you complete your registration, please confirm with us through our email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. or call us on: 0800 002 002.
In case you face any challenges, please feel free to contact t us
Kwa kufuata taratibu za BRELA:
Uongozi wa NMB Benki, unapenda kukumbusha kusajili taarifa za kampuni yako kupitia mtandao wa BRELA www.brela.go.tz or https://ors.brela.go.tz/ors kabla ya tarehe, 19 Julai 2018.
Wakati wa usajili hakikisha unaambatanisha mapato yako ya kampuni ya mwaka na taarifa nyingine muhimu.
Tafadhali ukimaliza usajili, tungependa utufahamishe kupitia barua pepe This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. au piga namba: 0800002002.
Kwa maelezo zaidi au msaada, tafadhali usisite kuwasiliana nasi.