Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Felix Tibenda (pili kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa NMB Bi. Ineke Bussemaker kwa uzinduzi wa NMB Mastercard kwa Mkoa wa Arusha na Kanda nzima ya Kaskazini. Wakishuhudia ni Meneja wa NMB kanda ya Kaskazini Bw.Salie Mlay(kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi Bw.Abdulmajid Nsekela .
Sehemu ya wageni wetu waliokuja kushuhudia uzinduzi huo.