Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya kikwete akimkabidhi Mtendaji Mkuu wa NMB Bi Ineke Bussemaker kikombe cha mahindi wapili kundi la taasisi za kibenki zilizoshiriki maonesho ya Nane nane Kitaifa 2015 katika viwanja vya Ngongo Lindi.

 

 

 

Wafanyakazi wetu wakifurahia ushindi baada ya kuibuka kidedea katika kundi la taasisi za kibenki zilizoshiriki maonesho ya Nanenane Kanda ya Ziwa katika viwanja vya Nyamhongoro Mwanza.

 

 

 

 

Kombe letu la ushindi Arusha

 

 

 

ChetiChetu cha Ushindi Dodoma

 

 

 

 

Tulishindapia na Morogoro