Karibu katika mabanda yetu ya Nane Nane upate kujua huduma na bidhaa zitolewazo na benki yako ya NMB.Mwaka huu tumeshiriki maonyesho ya Nane Nane katika sehemu zifuatazo; Lindi, Kagera,Morogoro,Tabora, Arusha, Dodoma na Mbeya.

 

 

 

Waziri wa Mambo yanje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.Bernad Membe akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la NMB lililopokatikaviwanjawaNaneNane – Lindi.

 

 

 

Mteja akipata maelekezo kutoka kwa Afisa wetu wa benki alipotembelea banda  la NMB viwanja vya Nane Nane Dodoma.