Mkaguzi Mkuu wa ndani wa NMB Bw. Augustino Mbogella (pili kushoto) akimpa mkono Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Bw. Nyirembe Sabi baada ya uzinduzi rasmi wa familia ya kadi za NMB MasterCard kwa Mkoa wa Mbeya na Kanda nzima ya Nyanda za Juu. kadi hizo zikiwa ni :Tanzanite, Titanium na World Reward MasterCard. Wakishuhudia ni Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu Bi.Lucresia Makiriye na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa wa NMB Bw. Filbert Mponzi.