Hii ni fursa yako ya kuwa sehemu ya mabadiliko kwenye changamoto zinazoikabili jamii inayokuzunguka hususani katika sekta ya elimu na afya.

Tuambie shule/kituo cha afya chenye uhitaji wa vifaa vya shule au hospitali ili sisi kama NMB tuweze kusaidia kupunguza changamoto hizo .

Vigezo na masharti