Karibu katika mabanda yetu ya Nane Nane upate kujua huduma na bidhaa zitolewazo na benki yako ya NMB.Mwaka huu tumeshiriki maonyesho ya Nane Nane katika sehemu zifuatazo; Lindi, Kagera,Morogoro,Tabora, Arusha, Dodoma na Mbeya.
Waziri wa Mambo yanje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.Bernad Membe akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la NMB lililopokatikaviwanjawaNaneNane – Lindi.
Mteja akipata maelekezo kutoka kwa Afisa wetu wa benki alipotembelea banda la NMB viwanja vya Nane Nane Dodoma.