More than a decade of banking excellence

Highlights

Who we are

Company Profile

chevron_right Learn more

Our Philosophy

	Get to know the pillars that make us a leading bank.

Get to know the pillars that make us a leading bank.

chevron_right Learn more

Our Leadership

Management Team

chevron_right Learn more

Governance

Board Committees

chevron_right Learn more

 

Waziri mkuu mstaafu, Mh. Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Sumbawanga. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki mjini Sumbawanga. Kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Said Magalula, Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa NMB, Richard Makungwa (wa tatu kulia), Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Lucresia Makirie  wakishuhudia uzinduzi huo. 

 

 

 

Waziri mkuu mstaafu Mhe.Mizengo Pinda akifungua pazia la jiwe la msingi na hivyo kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Sumbawanga. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki mjini Sumbawanga. Kulia ni Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa NMB, Richard Makungwa  na kushoto ni Mkuu wa Mkoa Rukwa Said Mgalula akishuhudia. Tawi la NMB Sumbawanga linakuwa la 3 kwa mkoa wa Rukwa na la 176 nchini na hivyo kuifanya NMB kuwa na mtandao mpana zaidi wa matawi kuliko benki yoyote hapa nchini. 

 

 

 

 

Waziri mkuu mstaafu Mhe.Mizengo Pinda akiweka alama ya dole gumba alipokua  akifungua akaunti ya NMB wakati wa uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Sumbawanga. Hafla hiyo ya uzinduzi wa tawi la NMB Sumbawanga ulifanyika mwishoni mwa wiki mjini Sumbawanga. Kulia ni Afisa Mkuu wa wateja wakubwa wa NMB, Richard Makungwa akishuhudia. Tawi la NMB sumbawanga linakuwa tawi la 3 kwa mkoa wa Rukwa na la 176 nchini.