Frequent Asked Questions

NMB MasterCard ni kadi mpya ya benki ya NMB inayomuwezesha mteja kupata huduma kama kutoa fedha kwenye ATM ya benki yoyote, kununua bidhaa au kulipia huduma wakati wowote na mahali popote duniani palipo na nembo ya MasterCard.
Kadi ya zamani mteja ana uwezo wa kuchukua fedha yake kwenye ATM za NMB pekee na hana uwezo wa kufanya manunuzi au kulipia huduma popote pale. Kwa kutumia NMB MasterCard, mteja anaweza kutumia ATM za NMB na zisizo za NMB zenye nembo ya MasterCard kuchukua fedha. Vilevile, ana uwezo wa kufanya manunuzi ya bidhaa madukani na kulipia huduma popote pale palipo na nembo ya MasterCard.
Ili kupata NMB MasterCard, ni lazima uwe na akaunti na benki ya NMB. Tembelea tawi lolote la NMB na ujaze fomu ya maombi ili kupata kadi.
NMB MasterCard ni rahisi kutumia. Mteja wa NMB ana uwezo wa kupata fedha zake mahali popote duniani inapokubalika MasterCard ikiwa ni pamoja na kwenye ATM na mashine za kulipia bidhaa madukani. Ni rahisi kubeba kuliko fedha. Ni kadi salama kutokana na teknolojia iliyotumika kuitengeneza.
Kuna aina tatu za kadi za NMB MasterCard. Kadi ya NMB World MasterCard, NMB Titanium MasterCard na NMB Tanzanite MasterCard. Mteja anaweza kupata kadi yoyote kati ya hizi kulingana na mahitaji na matumizi yake.
Ili kupata kadi ya NMB World MasterCard, unatakiwa kutumia zaidi ya Tsh 4.5 milioni kwa mwezi kwa manunuzi ya kwenye mashine za ATM na nyinginezo zinazokubali malipo kwa mtandao wa MasterCard. NMB Titanium MasterCard, unatakiwa kuwa na matumizi yasiyopungua Tsh1.5 milioni kwa mwezi na kwa kadi ya NMB Tanzanite MasterCard hakuna kikomo cha kiwango cha matumizi.
Unaponunua bidhaa au kulipia huduma, unatakiwa umpatie mtoa huduma kadi yako. Hakikisha mashine ya malipo iko mahali unapoiona. Mtoa huduma ataichomeka kadi kwenye mashine na baada ya sekunde chache mashine itamdai namba ya siri. Ingiza namba ya siri bila mtoa huduma kuiona na kisha malipo yataendelea. Hakikisha mashine imetoa risiti na mtoa huduma atakupa nakala kwa ajili ya kumbukumbu zako. Kamwe usimpe mtu yeyote namba yako ya siri kwani inatakiwa uijue wewe pekee kwa usalama wa matumizi ya akaunti yako.
Hairuhusiwi kwa mwenye mashine kumtoza mteja kwa ajili ya matumizi ya mashine. Unapokutana na mtoa huduma wa aina hiyo tafadhali wasiliana nasi kwa njia ya simu 0800 11 22 33 au +255 22 216 18 88.
Ndio, inaruhusiwa kwa benki nyingine kukutoza kwa matumizi ya mashine yao ya ATM. Kila benki hutoza gharama tofauti za huduma kulingana na muundo wao wa ada.
Ndio ni sahihi, unapotumia mashine za ATM za Benki zingine unaweza kukutana na uchaguzi kati ya akaunti ya akiba, akaunti ya hundi na zinginezo. Tafadhali chagua akaunti yoyote na endelea na muamala.
Unapopata kadi yako mpya, hakikisha hauhifadhi kadi yako hiyo na namba ya siri sehemu moja. Kariri namba yako ya siri kisha haribu karatasi ya namba ya siri kuepusha kuibiwa. Kamwe usimpe mtu yoyote namba yako ya siri.
Kwa kutumia NMB Tanzanite MasterCard, mteja anaweza kutoa pesa hadi Tsh 1,000,000 kwa siku kwenye ATM, pia malipo zinazopokea MasterCard
Ukipoteza kadi yako tafadhali piga simu 0800 11 22 33 au +255 22 2161888 kwa ajili ya kuzuia matumizi ya kadi. Kisha nenda polisi kutoa taarifa na urudi kwenye tawi lolote la NMB kuomba kadi mpya. Ikitokea uko nje ya nchi na umepoteza kadi, piga simu 0800 11 22 33 au +255 22 2161888 na wahudumu wetu watafunga kadi yako baada ya kuhakiki kwamba wewe ndiye mmiliki wa kadi husika.
Kwa kadi yako mpya ya NMB MasterCard itachukua muda wa masaa 24 kurudishiwa hela yako kama kadi ilitumika kwenye mashine za ATM za NMB. Endapo kadi itatumika kwenye mashine za benki nyingine itachukuwa muda usiopungua siku 45, hii ni kwa sababu ya ukubwa wa mtandao wa MasterCard na muda utakaotumika kuwasiliana na benki zingine.
Itachukua muda wa saa 24 kurudishiwa hela iliyokatwa kimakosa kwenye akaunti yako kama kadi yako ilitumika kwenye ATM za NMB na siku zisizopungua 45 kama kadi yako ilitumika kwenye ATM za benki nyingine.
Iwapo umetumia ATM ya NMB au benki nyingine na muamala umepitishwa kwenye akaunti yako wakati hukupata hela, tafadhali tembelea tawi la NMB lililo karibu nawe kwa msaada zaidi.
Tembelea tawi la NMB lililo karibu uweze kupata msaada au piga simu 0800 11 22 33 au +25522216188.
Muda wa matumizi ya kadi yako ni miaka mitatu. Unapogundua muda wa matumizi ya kadi yako unakaribia kuisha, unatakiwa kutembelea tawi lolote la NMB lililo karibu nawe ili kujaza fomu ya maombi ya kadi mpya.
Iwapo kadi yako haifanyi kazi au imeharibika, tafadhali tembelea tawi la NMB lililo karibu nawe kwa ajili ya uchunguzi wa kadi. Endapo itagundulika kadi hiyo haiwezi kufanya kazi tena utatakiwa kujaza fomu kwa ajili ya maombi ya kadi mpya.
Ikiwa umesahau namba yako ya siri, tafadhali tembelea tawi la NMB lililo karibu nawe kwa ajili ya kupata namba mpya ya siri.
Ndio, Vigezo na masharti ya maombi ya kadi ya NMB Tanzanite MasterCard vimeelezewa kwa uwazi. Tafadhali hakikisha unasoma na kuelewa masharti yote kabla ya kusaini fomu.
Kwa swali lolote la ziada ambalo halikujibiwa hapa, tafadhali tembelea tawi la NMB lililo karibu nawe kwa msaada zaidi au piga simu namba 0800 11 22 33 au +255 22 2161888.
NMB MasterCard is a new NMB card that allows NMB customers to access their funds at anytime, anywhere MasterCard is accepted including Millions of retailers, ATMs and online Merchants.
With the old NMB card, NMB customers could withdraw money from NMB ATMs only and they could not make any purchases. The new NMB MasterCard can be used anywhere MasterCard is accepted. It can be used to withdraw cash at over one million ATMs worldwide where the MasterCard, Maestro or Cirrus marks are displayed. It can also be used to pay for goods and services.
To get the new NMB MasterCard you must open an account with NMB Bank. Please visit your nearest NMB branch for instructions on how to open an account and get your NMB MasterCard.
NMB MasterCard is easy to use, convenient and can be used anywhere MasterCard is accepted around the globe. It’s safe to use due to the new technology used to make the card.
NMB has 3 types of cards. NMB World card is for people who have a high spending behavior, NMB Titanium card is for medium spenders and NMB Tanzanite is for normal spenders.
In order to get a NMB World card, among other things you must be able to spend above Tsh 4.5 Million per month, for NMB Titanium you must spend above Tsh 1.5 Million per month and for NMB Tanzanite there are no spending restrictions. For more clarification kindly call our call center or visit your nearest branch.
You can pay for goods and services simply by swiping or inserting your card into a Point of sales machine. Present your card to an attendant where you want to make payments. Make sure the machine is somewhere visible. You may be requested for a password to complete the purchases. Make sure you receive a copy of the receipt and keep it for future references.
It is not allowed for a merchant to charge the customer for purchasing through a POS. If you encounter such a merchant, you may opt to continue with the transaction or refuse, but you must report the merchant to NMB for further follow up with MasterCard.
Yes, it is allowed for other Banks outside your country to charge you for using their ATM. You may wish to continue with the transaction or decline.
When you use another bank’s ATM you may be required to choose your account from several selections on the ATM Screen. Please choose any option and proceed.
For information on fees and charges, please visit your nearest branch or contact our customer service personnel through 0800 11 22 00/ +255 22 2161888.
Please make sure your card and pin are not stored together. It is safe to memorize your pin and destroy the pin mailer to avoid fraudulent activities using your card.
Yes, there is a daily purchase limit of 10 Million Shillings and ATM withdrawal limit of 5 Million Shillings. However, if you wish to travel abroad and you would like to have your ATM withdrawal limit increased, please visit any of our branches, fill in a service request form and you will be assisted.
When you are outside the country, please make sure you write down our customer services numbers in a separate paper. In case you lose your card, immediately call our call center representatives and your card will be blocked to safeguard your account.
With the new NMB MasterCard, it will take more than 45 days to be refunded your money. This is because NMB have to request the funds from the other bank through MasterCard.
Please contact us immediately if you did not receive cash on ATMs or if you notice any fraudulent transactions in your account. You are advised to join NMB Mobile banking for transaction alerts and check your statement on a monthly basis and report any discrepancies.
If you have provided personal or account information (e.g. PIN) to someone else in error please contact us immediately via telephone at 0800 11 22 00/ +255 22 216 18 88.
Your card will expire three years from the date it was produced. For information on expiry date please check the front side of your card. If your card is about to expire, you are requested to visit your branch or any nearest branch for a replacement.
If your card is spoilt /damaged or it’s simply not working, please visit any of our branches for investigation. If the investigation reveals your card may no longer be used, our customer service personnel will assist you in getting a new card.
You can replace your card if it’s damaged, lost/stolen and upon expiry. To do all that you must visit your nearest branch and request for a new card.
It will take a maximum of 14 days to receive your new card.
A customer may visit the branch and request for a new card. She/he may also request to pick the card at any branch of their convenience.
If your card is captured at another bank’s ATM, you may request the bank to give you your card. If the bank sees it’s not suitable to give back your card, they will return it to NMB via courier. Please visit your nearest branch to request for a replacement. Your old card is rendered unt to use.
If you have forgotten your password please visit your branch or the nearest branch to get a new password.
Upon requesting for a card a customer MUST read and understand ALL the terms and conditions and sign the form.
If you have any other inquiries please visit any of our branches and you will be assisted by our customer service representatives or call our customer service center at 0800 11 22 00/ +255 22 216 18 88.
NMB MasterCard is a new NMB card that allows NMB customers to access their funds at anytime, anywhere MasterCard is accepted including Millions of retailers and ATMs.
With the old NMB card, NMB customers could withdraw money from NMB ATMs only and they could not make any purchases. The new NMB MasterCard can be used anywhere MasterCard is accepted. It can be used to withdraw cash at over one million ATMs worldwide where the MasterCard, Maestro or Cirrus marks are displayed. It can also be used to pay for goods and services.
To get the new NMB MasterCard you must open an account with NMB Bank. Please visit your nearest NMB branch for instructions on how to open an account and get your NMB MasterCard.
NMB MasterCard is easy to use, convenient and can be used anywhere MasterCard is accepted around the globe. It's safe to use due to the new technology used to make the card.
NMB has 3 types of cards. NMB World card is for people who have a high spending behavior, NMB Titanium card is for medium spenders and NMB Tanzanite is for normal spenders.
In order to get a NMB World card, among other things you must be able to spend above Tsh 4.5 Million per month, for NMB Titanium you must spend above Tsh 1.5 Million per month and for NMB Tanzanite there are no spending restrictions. For more clarication kindly call our call center or visit your nearest branch.
You can pay for goods and services simply by swiping or inserting your card into a Point of sales machine. Present your card to an attendant where you want to make payments. Make sure the machine is somewhere visible. You may be requested for a password to complete the purchases. Make sure you receive a copy of the receipt and keep it for future references.
It is not allowed for a merchant to charge the customer for purchasing through a POS. If you encounter such a merchant, you may opt to continue with the transaction or refuse, but you must report the merchant to NMB for further follow up with MasterCard.
Yes, it is allowed for other Banks outside your country to charge you for using their ATM. You may wish to continue with the transaction or decline.
When you use another bank’s ATM you may be required to choose your account from several selections on the ATM Screen. Please choose any option and proceed.
For information on fees and charges, please visit your nearest branch or contact our customer service personnel through 0800 11 22 33/ +255 22 2161888.
Please make sure your card and pin are not stored together. It is safe to memorize your pin and destroy the pin mailer to avoid fraudulent activities using your card.
Yes, there is a daily purchase limit of 10 Million Shillings and ATM withdrawal limit of 3 Million shillings. However, if you wish to travel abroad and you would like to have your ATM withdrawal limit increased, please visit any of our branches, fill in a service request form and you will be assisted.
When you are outside the country, please make sure you write down our customer services numbers in a separate paper. In case you lose your card, immediately call our call center representatives and your card will be blocked to safeguard your account.
With the new NMB MasterCard, it will take more than 45 days to be refunded your money. This is because NMB have to request the funds from the other bank through MasterCard.
Please contact us immediately if you did not receive cash on ATMs or if you notice any fraudulent transactions in your account. You are advised to join NMB Mobile banking for transaction alerts and check your statement on a monthly basis and report any discrepancies.
If you have provided personal or account information (e.g. PIN) to someone else in error please contact us immediately via telephone at 0800 11 22 33/ +255 22 2161888.
Your card will expire three years from the date it was produced. For information on expiry date please check the front side of your card. If your card is about to expire, you are requested to visit your branch or any nearest branch for a replacement.
If your card is spoilt /damaged or it's simply not working, please visit any of our branches for investigation. If the investigation reveals your card may no longer be used, our customer service personnel will assist you in getting a new card.
You can replace your card if it’s damaged, lost/stolen and upon expiry. To do all that you must visit your nearest branch and request for a new card.
It will take a maximum of 14 days to receive your new card.
A customer may visit the branch and request for a new card. She/he may also request to pick the card at any branch of their convenience.
If your card is captured at another bank’s ATM, you may request the bank to give you your card. If the bank sees it’s not suitable to give back your card, they will return it to NMB via courier. Please visit your nearest branch to request for a replacement. Your old card is rendered unfit to use.
If you have forgotten your password please visit your branch or the nearest branch to get a new password.
Upon requesting for a card a customer MUST read and understand ALL the terms and conditions and sign the form.
If you have any other inquiries please visit any of our branches and you will be assisted by our customer service representatives or call our customer service center at 0800 11 22 33/ +255 22 2161888.
NMB MasterCard ni kadi mpya ya benki ya NMB inayomuwezesha mteja kupata huduma kama kutoa fedha kwenye ATM ya benki yoyote, kununua bidhaa au kulipia huduma wakati wowote na mahali popote duniani palipo na nembo ya MasterCard.
Kadi ya zamani mteja ana uwezo wa kuchukua fedha yake kwenye ATM za NMB pekee na hana uwezo wa kufanya manunuzi au kulipia huduma popote pale. Kwa kutumia NMB MasterCard, mteja anaweza kutumia ATM za NMB na zisizo za NMB zenye nembo ya MasterCard kuchukua fedha. Vilevile, ana uwezo wa kufanya manunuzi ya bidhaa madukani na kulipia huduma popote pale palipo na nembo ya MasterCard.
Ili kupata NMB MasterCard, ni lazima uwe na akaunti na benki ya NMB. Tembelea tawi lolote la NMB na ujaze fomu ya maombi ili kupata kadi.
NMB MasterCard ni rahisi kutumia. Mteja wa NMB ana uwezo wa kupata fedha zake mahali popote duniani inapokubalika MasterCard ikiwa ni pamoja na kwenye ATM na mashine za kulipia bidhaa madukani. Kadi hii ni rahisi kubeba na salama kuliko fedha taslim.
Kuna aina tatu za kadi za NMB MasterCard. Kadi ya NMB World MasterCard, NMB Titanium MasterCard na NMB Tanzanite MasterCard. Mteja anaweza kupata kadi yoyote kati ya hizi kulingana na mahitaji na matumizi yake.
Ili kupata kadi ya NMB World MasterCard, unatakiwa kutumia zaidi ya Tsh 4.5 milioni kwa mwezi kwa manunuzi ya kwenye mashine za ATM na nyinginezo zinazokubali malipo kwa mtandao wa MasterCard. NMB Titanium MasterCard, unatakiwa kuwa na matumizi yasiyopungua Tsh 1.5 milioni kwa mwezi na kwa kadi ya NMB Tanzanite MasterCard hakuna kikomo cha kiwango cha matumizi.
Unaponunua bidhaa au kulipia huduma, unatakiwa umpatie mtoa huduma kadi yako. Hakikisha mashine ya malipo iko mahali unapoiona. Mtoa huduma ataichomeka kadi kwenye mashine na baada ya sekunde chache mashine itamdai namba ya siri. Ingiza namba ya siri bila mtoa huduma kuiona na kisha malipo yataendelea. Hakikisha mashine imetoa risiti na mtoa huduma atakupa nakala kwa ajili ya kumbukumbu zako. Kamwe usimpe mtu yeyote namba yako ya siri kwani inatakiwa uijue wewe pekee kwa usalama wa matumizi ya akaunti yako.
Hairuhusiwi kwa mwenye mashine kumtoza mteja kwa ajili ya matumizi ya mashine. Unapokutana na mtoa huduma wa aina hiyo tafadhali wasiliana nasi kwa njia ya simu 0800 11 22 33 au +255 22 2161888.
Ndio, inaruhusiwa kwa benki nyingine kukutoza kwa matumizi ya mashine yao ya ATM. Kila benki hutoza gharama tofauti za huduma kulingana na muundo wao wa ada.
Ndio ni sahihi, unapotumia mashine za ATM za Benki zingine unaweza kukutana na uchaguzi kati ya akaunti ya akiba, akaunti ya hundi na zinginezo. Tafadhali chagua akaunti yoyote na endelea na muamala.
Unapopata kadi yako mpya, hakikisha hauhifadhi kadi yako hiyo na namba ya siri sehemu moja. Kariri namba yako ya siri kisha haribu karatasi ya namba ya siri kuepusha kuibiwa. Kamwe usimpe mtu yoyote namba yako ya siri.
Ndiyo. Kwa kutumia NMB Titanium MasterCard, mteja anaweza kutoa pesa hadi Tsh 3,000,000 kwa siku kwenye ATM, pia anaweza kufanya manunuzi ya hadi Tsh 10,000,000 kwa siku kwenye mashine za malipo zinazopokea MasterCard.
Ukipoteza kadi yako tafadhali piga simu 0800 11 22 33 au +255 22 2161888 kwa ajili ya kuzuia matumizi ya kadi. Kisha nenda polisi kutoa taarifa na urudi kwenye tawi lolote la NMB kuomba kadi mpya. Ikitokea uko nje ya nchi na umepoteza kadi, piga simu 0800 11 22 33 au +255 22 2161888 na wahudumu wetu watafunga kadi yako baada ya kuhakiki kwamba wewe ndiye mmiliki wa kadi husika.
Itachukua muda wa saa 24 kurudishiwa hela iliyokatwa kimakosa kwenye akaunti yako kama kadi yako ilitumika kwenye ATM za NMB na siku zisizopungua 45 kama kadi yako ilitumika kwenye ATM za benki nyingine.
Iwapo umetumia ATM ya NMB au benki nyingine na muamala umepitishwa kwenye akaunti yako wakati hukupata hela, tafadhali tembelea tawi la NMB lililo karibu nawe kwa msaada zaidi.
Tembelea tawi la NMB lililo karibu uweze kupata msaada au piga simu 0800 11 22 33 au +25522216188.
Muda wa matumizi ya kadi yako ni miaka mitatu. Unapogundua muda wa matumizi ya kadi yako unakaribia kuisha, unatakiwa kutembelea tawi lolote la NMB lililo karibu nawe ili kujaza fomu ya maombi ya kadi mpya.
Iwapo kadi yako haifanyi kazi au imeharibika, tafadhali tembelea tawi la NMB lililo karibu nawe kwa ajili ya uchunguzi wa kadi. Endapo itagundulika kadi hiyo haiwezi kufanya kazi tena utatakiwa kujaza fomu kwa ajili ya maombi ya kadi mpya.
Ikiwa umesahau namba yako ya siri, tafadhali tembelea tawi la NMB lililo karibu nawe kwa ajili ya kupata namba mpya ya siri.
Ndio, Vigezo na masharti ya maombi ya kadi ya NMB Titanium MasterCard vimeelezewa kwa uwazi. Tafadhali hakikisha unasoma na kuelewa masharti yote kabla ya kusaini fomu.