Manufaa ya Akaunti ya Fanikiwa

 • Ina mahitaji rahisi ya kufungua
 • Gharama nafuu za kuiendesha
 • Inaleta uwiano kati ya akaunti binafsi na ya biashara
 • Unaweza kupata kitabu cha hundi iwapo utahitaji
 • Rahisi kupata mikopo ya kibiashara
 • Ada nafuu ya mwezi
 • Unakuwa mwanachama wa Klabu ya biashara ya NMB
 • Nafasi ya kujijenga kibiashara na Klabu yetu ya biashara
 • Mikutano ya mara kwa mara kwenye Klabu yetu ya biashara
 • Huduma za ATM zaidi ya 600 nchini kote
 • Unapata Mastercard na usajili wa bure kwenye NMB Mobile
 • Miamala isiyo na kikomo
 • Taarifa kwenye ujumbe mfupi wa simu (SMS) kila unapoweka na kutoa pesa

Mahitaji:

 1. Kitambulisho
 2. Barua kutoka serikali za mitaa (WEO, VEO or MEO), mwanasheria, hakimu au nyaraka yoyote kutoka vyanzo vya kuaminika vikielezea:
  • Majina yako
  • Tarehe na sehemu ya kuzaliwa
  • Picha ya hivi kaaribuni ya pasipoti (uwanda wa bluu)
 3. Leseni/ ruhusa ya biashara
 4. Tax Identification Number (TIN)
 5. Anuani ya makazi

Je! Unahitaji kufungua akaunti?

Tafadhali tuachie taarifa zako na tutawasiliana na wewe ili kukusaidia leo