Fanikiwa na NMB
Fanikiwa Akaunti ni akaunti ya biashara yenye
ada nafuu na mahitaji rahisi iliyotengenezwa
mahususi kwa wafanyabiashara wadogo.
Manufaa ya Akaunti ya Fanikiwa
- Ina mahitaji rahisi ya kufungua
- Gharama nafuu za kuiendesha
- Inaleta uwiano kati ya akaunti binafsi na ya biashara
- Unaweza kupata kitabu cha hundi iwapo utahitaji
- Rahisi kupata mikopo ya kibiashara
- Ada nafuu ya mwezi
- Unakuwa mwanachama wa Klabu ya biashara ya NMB
- Nafasi ya kujijenga kibiashara na Klabu yetu ya biashara
- Mikutano ya mara kwa mara kwenye Klabu yetu ya biashara
- Huduma za ATM zaidi ya 600 nchini kote
- Unapata Mastercard na usajili wa bure kwenye NMB Mobile
- Miamala isiyo na kikomo
- Taarifa kwenye ujumbe mfupi wa simu (SMS) kila unapoweka na kutoa pesa
Mahitaji:
- Kitambulisho
- Barua kutoka serikali za mitaa (WEO, VEO or MEO), mwanasheria, hakimu au nyaraka yoyote kutoka vyanzo vya kuaminika vikielezea:
- Majina yako
- Tarehe na sehemu ya kuzaliwa
- Picha ya hivi kaaribuni ya pasipoti (uwanda wa bluu)
- Leseni/ ruhusa ya biashara
- Tax Identification Number (TIN)
- Anuani ya makazi