Vigezo vya Kupata Nafasi ya Kushinda

  • Fungua na/Weka TZS 100,000 au zaidi katika akaunti yako ya NMB,
  • Hamisha TZS 100,000 + kutoka benki nyingine au mtandao wa simu kwenda akaunti yako ya NMB,
  • Fungua na/Weka Standing Order ya TZS 100,000 au zaidi kwenda akaunti yako ya Bonus, Chipukizi au Mtoto,
  • Fungua na/Weka TZS 10,000,000 kwenye akaunti yako ya NMB kwa mwezi mmoja au zaidi.

Zawadi

  • Washindi 10 kila wiki kushinda hadi (pesa taslim) TZS 500,000 kila mmoja,
  • Washindi 2 kila wiki kushinda (pikipiki miguu mitatu) LIFAN kila mmoja,
  • Mshindi 1 kila mwezi kushinda (Kirikuu) TATA ACE,
  • Mshindi 1 wa Fainali kushinda TOYOTA FORTUNER.